Posts

Showing posts from June, 2024

Upara (Swahili language)

  UPARA ni hali ya mtu kutokuwa na nywele au ukosefu wa nywele mahali ambapo mtu huyo aliwahi kuwa na nywele na  mara nyingi  hasa kichwani , pia upara kawaida zaidi  ni upungufu wa nywele unatakaokuwa unawatokea hatua kwa hatua binadamu  ambao Ni wanaume ,wanawake pamoja na viumbe hai. SABABU 3 ZA UPARA (1)Kuharibika / kuathiriwa kwa seli za mwilini , ambazo ni white blood cell zitakapokuwa zimeathiriwa au zimevamiwa  ambazo zipo kwajili ya kupigana na magonjwa na matokeo yake tutaoneshwa kwa  kukosekana kwa  nywele yako. (2)HOMONI YA DHT Mabadiliko ya homoni yatakayoweza kusababishwa na Ujauzito, Kujifungua, Komahedhi,  Magonjwa ya tezi ya thyroid, Kwani hizi ni homoni zitakazokuwa na  msukumo wa nguvu za ngono ,  Ukuaji wa nywele za mwilini na usoni , ambazo zitaweza kuathiri vibaya  tezi , kibofu, Pamoja na nywele za kichwani. Namna gani ambavo  homoni DHT itakavyofanya ni kwamba homoni DHT  itasababisha mchakato wa ukondaji wa nywele na  Kupitia mchakato huo wa ukondaji wa  nywele